LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 6,2020 kwa msimu wa 2020/21.
Azam FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, Arstica Cioaba wao wataanza kukipiga Septemba 7 palepale makao makuu ya timu yao. Azam Complex Uwanja bora ndani ya ardhi ya Bongo wenye hadhi ya kimataifa.
Hizi hapa ni mechi tano tano za kwanza za Azam FC, msimu wa 2020/2021.
Septemba 7,2020, Azam FC vs Polisi Tanzania, Uwanja wa Azam Complex, Dar.
Septemba 11, Azam FC vs Coastal Union, Uwanja wa Azam Complex, Dar.
Septemba 20, Mbeya City vs Azam FC, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Septemba 26, Tanzania Prisons vs Azam FC, Uwanja wa Nelson Mandela, Rukwa.
Oktoba 4, Azam FC vs Kagera Sugar, Uwanja wa Azam Complex, Dar.
Hivi Mbeya city bado ipo katika VPL?!
ReplyDelete