Kiungo huyo alikuwa anakipiga ndani ya Namungo FC kwa mkopo akitokea Simba ila kwa sasa amemaliza dili lake la Simba na kuibuka ndani ya Kagera akiwa mchezaji huru.
Kagera Sugar imeondokewa na wachezaji wake kadhaa ikiwa ni pamoja na Zawad Mauya ambaye yupo zake Yanga na Awesu Awesu ambaye yupo zake Azam FC.
Mo Ibra amesema kuwa anafurahi kuanza maisha mapya ndani ya Kagera Sugar atapambana kufikia mafanikio ndani ya kikosi hicho. Mo Ibra akiwa ndani ya Simba alikuwa kipenzi cha mashabiki,
0 COMMENTS:
Post a Comment