August 14, 2020


GWAMBINA FC ambayo msimu ujao wa 2020/21 itashiriki Ligi Kuu Bara imetangaza jeshi lake la kazi ambalo italitumia likiwa na maingizo mapya pamoja na wale ambao waliipandisha timu hiyo kutoka Ligi Daraja la Kwanza namna hii:-

 Makipa.

1. Mohamed Makaka kutoka Ruvu Shooting FC
2. Isihaka Ibrahim alipanda na Gwambina FC
3. Stali Nyambe- kutoka Buildcon FC ya Zambia
4. Mohamed Hussein alipanda na Gwambina FC

Mabeki.
1. Revocatus Richard alipanda na Gwambina FC
2. Salum Kipaga alipanda na Gwambina FC
3. Hamad Nassor alipanda na Gwambina FC
4. Anthony Matogoro alipanda na Gwambina FC
5. Aron Lulambo kutoka  KMC 
6. Lameck Daniel kutoka  Biashara FC
7. Baraka Mtui “Popa” kutoka Ruvu Shooting 
8. Novartus Lufunga kutoka Lipuli FC

Viungo.
1. Yusuph Kagoma alipanda na Gwambina FC
2. Yusuph Lwenge ‘Dunia’ alipanda na Gwambina 
3. Salim Juma Sheshe alipanda na Gwambina FC
4. Rajab Athuman alipanda na Gwambina FC
5. Said Mkangu kutoka Sahare FC
6. Jacob Massawe alipanda na Gwambina 

Washambuliaji.
1. Meshack Abraham alipanda na Gwambina FC
2. Jimmyson Steven alipanda na Gwambina FC
3. Paul Nonga kutoka Lipuli FC
4. Kapama Kibadeni alipanda na Gwambina 
5. Moric Mahela kutoka Stand United
6. Japhet Makalai kutoka Kagera Sugar 
7. Miraji Saleh kutoka Stand United

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic