August 16, 2020

5 COMMENTS:

  1. Usajili wetu wa Makambo na Kotei vipi umeota mbawa. Wachezaji tunaleta sisi lakini hudakwa na mikia na sisi tumebakia na Morison tulieporwa badala ya kusonga mbele na kusahau kila kitu na hii ndio hasa. tageti yao

    ReplyDelete
  2. Wewe kweli mjanja.Umejua tageti ya Simba washtue Utopolo wenzako bado hawajashtuka.Muda unaisha hivyo na mmebakia kulalamika. Baadaye yatakuja ya ohh wanatupuluzia dawa,wanabebwa,ohh ratiba inabana.

    ReplyDelete
  3. Dah Yanga yangu bado tunasubiri International flights zianze operation.Bado tunali-lia na issue ya Morisson ya kumpeleka CAS na hadi kesi yake iishe na ligi itakuwa imeshamalizika.Viongozi wetu dirisha la usajili linafungwa lini? Au tumeridhika na usajili wa Senzo?

    ReplyDelete
  4. Simba wamo mbioni kujiweka sawa kwa msimu ujao na sisi tumesahau kila kitu tumo kufukuzana na mbioni kumshugulikia Morris ambae hatunae na hela aliyopewa kuirejesha na maasimu wakikata mbuga kwa kujitaarisha kwa yajayo

    ReplyDelete
  5. Halafu hivi karibuni walipommpara Masangusu, Katika furaha yao Nguaz alisema "Hawa Hawatuwezi" na Mara Morison huyo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic