August 30, 2020


FT: Yanga 2-0 Aigle Noir
Uwanja wa Mkapa

Dakika 3 zimeongezwa
Dakika ya 90 Carinhos anafanya jaribio la kwanza linaokolewa na mlinda mlango
Dakika ya  86, Shikhalo anaokoa hatari iliyopigwa na Masoud
Dakika ya 81, Carlinho anaingia anatka Ninja
Dakika ya 80 Niyonzima anapaisha kwa guu la kushoto
Dakika ya 78 Adeyum anaotea
Dakika ya 60 Shikhalo anaingia anatoka Metacha Mnata
Dakika ya 51 Goooal, Michael Sarpong kwa kichwa
Kipindi cha pili kimeanza 
HT: Yanga 1-0 Aigle
Zinaongezwa dakika 3
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zinakamilika 
Dakika ya 44 Aigle wanapeleka mashambulizi Yanga
Dakika ya 38 Gooooal, Tuisila Kisinda kwa pasi ya Fei Toto
Dakika ya 38 Kaseke anakosa bao la wazi
Dakika ya 36 mlinda mlango wa Aigle, Erick anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 30, nyota wa Aigle, Koffi anaonyeshwa kadi ya pili ya njano na kufanya aonyeshwe kadi nyekudu,
Dakika ya 23 Kibwana Shomari anamwaga maji yanakutana na mikono ya kipa wa Aigle 
Dakika ya 20,Tuisila ndani ya 18 anampa Yassin Mustapha ambaye anamwaga maji yanakutana na kichwa cha Sarpong hakizai matunda
Dakika ya 13 Aigle wanaanzisha mashambulizi kwenda Yanga

Dakika ya 10 Koffi Kouassi wa Aigle alionyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Kisinda

Dakika ya 3 Michael Sarpong alisababisha kona ambayo haikuzaa matunda 

UWANJA wa Mkapa

Mchezo wa kirafiki wa kimataifa

Yanga 0-0 Aigle Noir


8 COMMENTS:

  1. kipindi cha pili badilisheni basi na kikosi?
    wako kumi hao

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. first eleven imecheza 2/3 inaonekana hamana kikosi cha pili hapo au ni dhaifu

      Delete
  3. Hao Warundi na vile wamecheza 10 tu tangu dakika ya 30...Ingekuwa Simba hapo wangepigwa 5G

    ReplyDelete
  4. Wamejitahid ila bado watahitajika kuboresha hapo mbele.

    ReplyDelete
  5. Utopolo bado, mnakazi ya ziada kupamba ba team zenye malengo ya mbali, Kama ingekuwa namungo Leo mngelala na viatu

    ReplyDelete
  6. Malaya sajili Wachezaji 30 bt starting Team must be 11+ substitute 3 watatu,mikia imarisheni Lile kundi la Hanspope

    ReplyDelete
  7. Mpaka red card ndio team inaanza kushinda?kikosi cha pili hakikupata goli hata moja,mpaka walivyopata goli 2 ndio wakafanya sub,kikosi kikipata majeruhi wakutosha watalia watu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic