August 18, 2020

 


IMEELEZWA kuwa Klabu ya Yanga iko kwenye hatua za mwisho za  kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Interclube ya Angola, Carlos Stenio Fernandes Guimaraes ' Carlinhos' raia wa Angola.


Hiyo ni siku chacha baada ya kukamilisha dili la nyota wawili wa kimataifa kujiunga na timu hiyo kwa dili la miaka miwili ambao ni Tuisila Kisinda ambaye ni kiungo pamoja na Tonombe Mukoko ambaye yeye ni mshambuliaji.

Mkurugenzi wa Uwekezaji ndani ya Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said amesema kuwa bado kuna nyota wengine wa kimataifa wanafanya nao mazungumzo hivyo mipango ikamilika wataweka kila kitu wazi.

"Kuna nyota mwingine raia wa Angola tupo naye kwenye mazungumzo ya mwisho, mambo yakikamilika basi kila kitu kitawekwa wazi," amesema.

20 COMMENTS:

  1. Utasikia jioni machakumpe mikia wameingia,we endelea kuwachuuza

    ReplyDelete
  2. Ahahaha mikia mikia

    ReplyDelete
  3. Mikia fc walishamaliza kusajiri kwa wachezaji wa nje, watulie sindano iwaingieee

    ReplyDelete
  4. Manyani fc muda huu wa usajili huwa wanakenua ligi ikianza tu utasikia TFF wanaibeba Simba mnatulete wadogo zake Pepe Kale na Harusi Mabele

    ReplyDelete
  5. SIMBA WAMESHAINGILIA KATI, KESHO ANATUA BONGO KUSAINI MSIMBAZI.

    ReplyDelete
  6. Mikia hamna kitu kwanza timu yenu mmeuza ata fedha hamjalipwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwenye timu amebadili nembo ya timu na anawashangaa jinsi bado mnafuata tu. Sijui mmerogwa?

      Delete
  7. Wachezaji wazuri wote ligi ya Angola akiwa mzuri hachezi Africa .wanakwenda ureno Portugal kucheza na wanalipwa uzuri .ukiona mchezaji hana time kigenge hicho

    ReplyDelete
    Replies
    1. KWAHIYO CHAMA NA BWALIYA ULAYA VIPI NDIO APO WALIPO

      Delete
    2. Pole. Huelewi tofauti kati ya Zambia na Angola

      Delete
  8. Jifunze kusoma!Au ndio ngumbaru. Amesema wachezaji kutoka Angola. Chama na Bwalya wanatoka Angola?Mijitu mingine ahhhh Pukuchaka.

    ReplyDelete
    Replies
    1. MANTIKI YA ALICHO ANDIKA MWENZIO ULIKIELEWA AU UNAKURUPUKA TU KUCHONGA WEWE MANDAZI

      Delete
  9. Hivi nyie mikia kila mtu akija Yanga eti ligi ya Angola ,kila mzuri anakwenda Ulaya,1 Ligi yao na yetu ipi bora?2.Flavio alitegemewa Sana kwao alicheza Ulaya hipi?3.Team ya Taifa ya Zambia siku hizi kama sisi tu ndo maana hata Wachezaji wao wanalanda landa humu.3.Angola wanauadirifu siyo Kama hii ligi ya Kidau na Ndimbo 4.Mikia mmeingizwa Chaka poleni mmebaki visingizio kwani nyie mmesajiri Mzaire eti Mgaru na mmemtowa Zambia tena Team bovu leo wetu eti Vita sijui Wachezaji wazuri hawaji huku,kwahiyo unataka wakija waje Thiimba mikia siku hizi mliacha kila Viagra?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata Molinga mlisema ni straika hatari kutoka Congo!

      Delete
  10. Kwani kagere ukitoa Magoli ya offside na ya Singida manne alokuwa anafunga goli halina kipa na ya Coastal si angekuwa ana Magoli 10,si bora Molinga je wale Wahindi mlosema Wabrazili bila kusau Shiboub aliyengara Simba day tu Happ vipa Bwana tale

    ReplyDelete
    Replies
    1. ata yale magoli aliwafunga Al Ahly, Nkana na Js Soura yote yalikuwa offside ndio mana Simba wakaingia robo fainali, tunachokiona sasa hv mnataka kujisahaulisha kuwa mmechezea 4G mmewaleta hao wacheza mayenu ili mpunguze idadi ya magoli ingekuwa nyie ndo mmetufunga sisi hizo goli nne nafikiri ndo ingekuwa wimbo wa taifa lakini kwa sababu Simba Taifa kubwa huwa atuongei sana kwa sababu tunajua nyie sio level yetu, endeleeni kuongea lakini tunajua trh 18/10 sio mbali kwa kuwa tunajua kwa maneno sisi hatuwawezi

      Delete
  11. Kupenda bure Deo kanda mnaambiwa toeni pesa mnashindwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umbakishe Deo Kanda ili akacheze namba ya nani?

      Delete
  12. Hapo tu umejaza ukurasa eti huwa atuongei sana ,4g ndo kimbilio ambayo imesababisha uchizi na uzandiki wenu uonekane ninyi na maghaidi sawa tu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic