Andrew Vincent maarufu kama Dante ametambulishwa leo Agosti 18 ndani ya KMC kwa dili la mwaka mmoja kukipiga ndani ya kikosi cha wana Kino.
Beki huyo amesajiliwa akiwa huru baada ya kuachwa na Yanga msimu wa 2019/20.
Kwenye dirisha la usajili nyota huyo amekuwa wa kwanza kutambulishwa ndani ya kikosi hicho.
Enter your comment...kila la kheri,mpira wa bongo inabidi uwe na mahesabu saaana ,
ReplyDelete