Mchezo hui utapigwa Uwanja wa Mkapa, majira ya saa 11:00 jioni.
Siku hiyo ni rasmi kwa ajili ya kuwatambulisha wachezaji wapya na wale wa zamani ambao ni mali ya Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara.
Miongoni mwa wachezaji wapya ni pamoja na Bernard Morriosn, Larry Bwarya, Charlse Ilanfya huku wale wa zamani ikiwa ni pamoja Ibrahim Ajibu, Said Ndemla, Meddie Kagere, John Bocco.
Ni draw march labda mnunue
ReplyDeleteSijakufahamu umekusudia nini "draw March"
ReplyDeleteMmechagua vibonde hao ili mwafunge muaze kusema mnakikosi kizur
ReplyDeleteSimba 2-1 Namungo
DeleteSimba 4-1 Yanga
Sasa sijui hapo kibonde ni nani!
Mulimnunua Morrison kabla ya match, kataa baasi,ndio maana tunasema ubingwa wa maabara
DeleteKwa hiyo Morrison asingenunuliwa angefunga goli tatu peke yake ingekuwa 4-4 namkubali sana Luc Eymael alishawaona kuwa akili zenu zinafanana na yule Mnyama
DeleteSasa mtaropokwa tena sana kwa kukataluia na Morrison ambaye kwa uwezo na mapenzi yake kaichaguwa Simba ambayo Kwake baada ya kufikiri sana kaona ndio ya kiasi chake na ya kuaminika iliyobeba makombe yote ya nyumbani na kuendelea nayo pamoja na mechi za kitaifa ambapo uwezo wake utaonekana kuliko kubakia NA historic G4
ReplyDelete