August 14, 2020

12 COMMENTS:

  1. Mashiko kwa ajili ya nani?

    ReplyDelete
  2. Wivuu kiss Morrison kavaa mtapasuka mwaka huu

    ReplyDelete
  3. Hiyo ni Blauzi kabisa, mbona jezi haina ubunifu wowote? Kweli mkia hauwezi kuwa kichwa

    ReplyDelete
  4. Itawauma sana kandambili aka vyura aka GONGOWAZI na bado

    ReplyDelete
  5. Kwani blauzi ni nini, ni jezi pia

    ReplyDelete
  6. Daini fedha zenu za kuuzwa timu mikia. Timu mmekopwa hiyo. Wenyewe wameshaanza kubadili nembo mmetumbua macho. Manara anatumwa kucheza na akili zenu na amewapata

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli kabisa. Simba inahistoria ndefu wazee mpo wapi? Kizazi hiki kimeamua kuifuta kwa kuuza timu. Simba hii ni biashara ya mtu. Hivi hawa mikia hakuna mwenye akili ata mmoja kweli?

      Delete
    2. Akili mgando unatumia zilizotumika

      Delete
  7. Safi kabisa timu bora jezi nzuri safi kabisa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic