TAYARI ratiba ya Ligi Kuu Bara imeshatoka na kila timu ishajua nani ataanza naye kwenye ligi msimu wa 2020/21.
Hizi hapa mechi tano za kikosi cha Yanga:-
Septemba 6, 2020, Yanga vs Tanzania Prisons- Uwanja wa Mkapa, Dar.
Septemba 13, 2020, Yanga vs Mbeya City- Uwanja wa Mkapa, Dar.
Septemba 19, 2020, Kagera Sugar vs Yanga SC- Uwanja wa Kaitaba, Kagera.
Septemba 27, 2020, Mtibwa Sugar vs Yanga SC-, Uwanja wa Jamhuri-Morogoro.
Oktoba 3, 2020, Yanga SC vsCoastal Union- Uwanja wa Mkapa.
0 COMMENTS:
Post a Comment