HAYA ni Mahojiano maalum na msemaji wa mabingwa wa nchi, Simba SC, Ndugu Haji Manara, akizungumzia masuala mbalimbali kuhusu klabu hiyo ikiwa ni siku moja tu imebaki kufikia Agosti 22, kwenye kilele cha SIMBA DAY kitakachofanyika kwenye viwanja viwili Uwanja wa Mkapa na Uhuru...
Aidha Manara amezungumzia kuhusu kuondoka kwa aliyekuwa C.E.O wa Simba,
Senzo Mazingiza, ambaye kwa sasa amejiunga na Yanga, lakini pia usajili wao walioufanya kwa msimu huu... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Asante sana Haji, kwa kukubali kuwa hata Simba ifanye nini Yanga ataendelea kuwa BABA LAO kama PELE!!
ReplyDelete