Makamu mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela amethibitihsha kuwa wachezaji wawili wa wapya wa timu hiyo, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo (Carlinhos, Kutoka Angola) na Sarpong watawasili nchini mapema wiki ijayo baada ya kumalizana kila kitu na klabu zao za zamani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 COMMENTS:
Post a Comment