August 14, 2020

 

KUTOKA Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) wana familia watatu kwenye michezo watapewa malalamiko yao na wito kwa njia ya maandishi ili kuhuduhuria kikao cha Kamati ya Maadili, wanafamilia hao ni:-Mjumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF, Zakaria Hans Poppe, Mkuu wa Idara ya Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara na mchezaji Bernard Morrison.


Pia Sekretarieti ya TFF imempeleka Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli katika Kamati ya Maadili kwa kutoa taarifa ya uongo.  

11 COMMENTS:

  1. Shame to TFF presdent and co ,bado mnafanya mambo ya mechi ya Namungo na Simba then Simba na Polisi ,eti anafungiwa refa cse ile Team inamilikiwa na PM then ya Polisi kosa Lile Lile refa kaachwa ,zingatia PM Ni Simba Lia Lia na amesema hadharani,na maanisha nini ,Mimi siyo Mwanasheria happy watajwa wanaotoka Simba walitoa hukumu hata kabla ya hukumu halisi ,hata Jtatu walionngea Sana WAKACONFLISHa interest why wa Yanga anaambiwa Uongo lkn walo pressurize maamuzi wanaitwa bila kuambiwa Waongo au Wahuni au wachochezi /someni hiyo barua ufanye dhumuni la barua kuanZia heading mpaka hitimisho ,Kama ulienda shule kupata maarifa utanielewa

    ReplyDelete
  2. TFF na Watanzania uendeshaji wa mpira wa kisasa umetushinda tumebaki na utajiri wa majungu na utapeli tapeli mwingi.

    ReplyDelete
  3. Povu Hilo linawatoka madhabiki, wamesahau enzi za malinzi

    ReplyDelete
  4. mimi naona hapa kesi ilianzia tarehe 15/1 kama morrison alingia 17/1 tanzania,dirisha la usajili lili fungwa 15/1 yanga walete fax au email ya morrison kusign iko wapi,chamsingi TFF na yanga wanakesi ya kujibu,hapa ndio patamu,

    ReplyDelete
  5. kama yanga walimuongeza mkataba morrison na waka upeleka TFF huo mkataba uko wapi,JE TFF WANAPOKEA MANENO AU KARATASI WANAPO AMBIWA HUYU MCHEZAJI TUME MSAJILI,AU VILABU HUTUMA KARATASI BAADA YA KUTUMA KWENYE TMS SYSTEM,KAMA WALI POKEA HIZO KARATASI HAWAKUONA MAPUNGUFU MPAKA JUZI.TFF TFF TFF

    ReplyDelete
  6. Hayo tff wameyataka wenyewe kesi ya dakika 10 wanachukua siku tatu kwanza hawajaeleza majibu waliyopata polisi kuhusu sahihi kufojiwa

    ReplyDelete
  7. TFF imejaa wasanii, alafu tunataka kufika mbali kimataifa, Kamati imejaa Bias, Bora tushabikie ligi za nje kuliko hizi homa za vipindi...

    ReplyDelete
  8. Mahakama ya Simba na jaji Ni Haji Manara wakili Ni usanii Sana

    ReplyDelete
  9. Wanataka tusijitambue ndo maana Haji Manara anamiliki media ,lkn amini usiamini Mwananchi Hana nickname za Wanyama wafugwao na kuongozwa Kama siyo kufugwa,tabia nzuri,mbaya,jasiri,pole ,chizi , jasiri,hekima nk inampa Binadamu thamani ,lkn kundi linajiita Simba ,paka,chui . Unahitaji kuwapima Kama siyo kuwafikiria/yaan mwanadamu sifa Ni kujiita mifugo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umesahau nyani na mbwa wanaobweka hovyo viwanjani!

      Delete
  10. wamezoea danganya danganya...watu sio wajinga eti utawadanganya kila siku.hata watoto baadaye hupata akili ya kishituka..nendeni CAS

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic