August 14, 2020

 

JOASH Onyango, nyota wa zamani wa Klabu ya Gor Mahia leo ametambulishwa rasmi ndani ya Klabu ya Simba.

Onyango raia wa Kenya amefanya kazi kwa ukaribu na Francis Kahata alipokuwa ndani ya Gor Mahia jambo linaloongeza ukaribwa wa familia hizo mbili kikazi ndani ya Simba.

 Onyango alikuwa anapakaa rangi nywele na ndevu zake, sasa amekuja na muonekano wa tofauti kivingine tayari kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu wa 2020/21.

Habari zinaeleza kuwa beki huyo amesaini dili la miaka miwili.

8 COMMENTS:

  1. Afadhali alivyobadili mwonekano maana alikuwa anafanana na gorilla

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kaka huyo ni binadamu mwenzetu acha utani wa kukufuru acha bas ndugu yangu,

      Delete
  2. Timu ya vibabu. Kagere,Nyoni, Bocco, Wawa, Mkude, Deo Kanda. Na yule kipa wenu mwenye kitambi bado yupo!?

    ReplyDelete
  3. Timu ya vigoli vya singeli. Ndio iliyopigwa 4 G na hawa hawa au kuna mengine. Mpira ni uwanjani sio ngebe za kwenye mabaraza ya kahawa. ARBAA zinauma ndio maana unaweweseka.

    ReplyDelete
  4. Manyani na wenye kubweka wanajulikana. Muulize Luc Eymael.

    ReplyDelete
  5. Wow wowuuu who let the barking dogs out Wow wuuuu.

    ReplyDelete
  6. Simba Nguvu moja. Asanteni sana wadau wa usajili wa Simba kweli mmezamiria kufanya makubwa mara hii. Ukisikia usajili wa kijitu kizima ndio huu Asanteni sana yajayo kweli yatadutafurahusha ndani yw simba .

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic