September 26, 2020


LEO Septemba 26, Ligi Kuu Bara inaendelea ikiwa ni raundi ya nne.


Hizi hapa timu ambazo zitakuwa kazini kusaka pointi tatu namna hii:- Polisi Tanzania iliyo nafasi ya 10 na pointi zake nne itawakaribisha Dodoma Jiji iliyo nafasi ya nne na pointi saba Uwanja wa Ushirika Moshi.Majira ya saa 8:00 mchana.

Tanzania Prisons iliyo nafasi ya tisa ikiwa na pointi nne itawakaribisha  Azam FC iliyo nafasi ya pili na pointi zake tisa Uwanja wa Nelson Mandela.Majira ya saa 10:00 jioni.

Simba iliyo nafasi ya tatu itamenyana na  Gwambina FC iliyo nafasi ya 13 na pointi moja kibindoni.Itakuwa ni saa 1:00 jioni.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic