KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Septemba 26 Uwanja wa Mkapa dhidi ya Gwambina FC.Ndemla anaanza kikosi cha kwanza leo kwa mara ya kwanza baada ya kuchukua nafasi ya Fraga Gerson kwenye mchezo dhidi ya Biashara United.
Fraga anasumbuliwa na maumivu ya goti aliyoyapata kwenye mchezo dhidi ya Biashara United alitumia dakika tatu kucheza na dakika ya 8 nafasi yake ilichukuliwa na Ndemla
0 COMMENTS:
Post a Comment