LEO Septemba 27, Mtibwa Sugar itawakaribisha Yanga Uwanja wa Jamhuri, Morogoro kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Rekodi zinaonyesha kuwa tangu msimu wa 2011 mpaka 2020 zimekutana mara 18 ambapo sare zimepatikana sita.
Yanga imeshinda mechi nane na Mtibwa Sugar imeshinda mechi nne na jumla yamefungwa mabao 30.
Hizi hapa rekodi zao za Mtibwa Sugar v Yanga rekodi
2011/11
Mtibwa Sugar 0-0 Yanga
Yanga 3-1 Mtibwa Sugar
2012/13
Mtibwa Sugar 3-0 Yanga
Yanga 1-1 Mtibwa
2013/14
Yanga 2-0 Mtibwa
Mtibwa Sugar 0-0 Yanga
2014/15
Mtibwa Sugar 2-0 Yanga
Yanga 2-0 Mtibwa Sugar
2015/16
Mtibwa Sugar 0-2 Yanga
Yanga 1-0 Mtibwa Sugar
2016/17
Yanga 3-1 Mtibwa Sugar
Mtibwa Sugar 0-0 Yanga
2017/18
Yanga 0-0 Mtibwa Sugar
Mtibwa Sugar 1-0 Yanga
2018/19
Yanga 2-1 Mtibwa Sugar
Mtibwa 1-0 Yanga
2019/20
Yanga 1-0 Mtibwa Sugar
Mtibwa Sugar 1-1 Yanga
0 COMMENTS:
Post a Comment