LEO Septemba 27 mechi tatu zimepigwa kwa timu sita kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.
Jumla yamefungwa mabao matatu kwenye mechi zote tatu ambapo ni mechi moja tu kati ya Ruvu Shooting na Biashara United Uwanja wa Uhuru hapo wamegawana pointi mojamoja.
Matokeo ya mechi za leo yalikuwa namna hii:-
Mtibwa Sugar 0-1 Yanga imepigwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Bao limepachikwa kimiani na Lamine Moro dakika ya 61.
Mwadui FC 2-0 Ihefu, Uwanja wa Mwadui Complex, mabao yamefungwa na Fred Felix dakika ya 6 na Wallace Kiango dakika ya 37.
Ruvu Shooting 0-0 Biashara United ngoma imepigwa Uwanja wa Uhuru.
0 COMMENTS:
Post a Comment