LEO Septemba 11, Yanga wanazindua jezi mpya na duka la kuuzia jezi makao makuu, Jangwani kwa ajili ya msimu mpya wa 2020/21.
Huu hapa muonekano wa uzi mpya wa Yanga pamoja na duka jipya la Yanga.
LEO Septemba 11, Yanga wanazindua jezi mpya na duka la kuuzia jezi makao makuu, Jangwani kwa ajili ya msimu mpya wa 2020/21.
Huu hapa muonekano wa uzi mpya wa Yanga pamoja na duka jipya la Yanga.
Kitu quality inaendana na thamani ya Mwananchi,siyo matambala tunayo yaona kwa baadhi ya Team
ReplyDeleteMimi ni shabiki lialia wa Mnyama; lakini leo hii sina budi kuwapongeza watani zetu UTOPOLO kwani wanajitahidi sana kwa upande wa jezi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
ReplyDeleteHakuna jezi hapo utumbo huwo dira hizo
ReplyDeleteHuwezi linganisha na zile za kwenu sanda na vitambaa vya waganga
DeleteJezi mbaya
ReplyDeleteHahahahahahha hii ni jezi au atlas
ReplyDelete