Huyu kocha bado anajifunza hata tulipotwaa ubingwa bado hakuwapa nafasi wachezaji wa mabenchi kama Shibob, Rashid Juma,Deo kanda kwa sababu ya kukariri kikosi
Una uhakika Deo Kanda hakupewa nafasi muwe mnajitathmini kabla ya ku comment kocha huyu huyu tulivyofungwa na Mtibwa fainali kombe la Mapinduzi mlitaka aondoke, leo tumecheza mechi mbili kwenye viwanja vigumu na timu ngumu kama mtibwa mnalaumu hakuna mpira wa kushinda 6 - 0 kila mechi hakuna dunia nzima,na kwa taarifa yako timu nyingi zimejifunza ligi iliyoisha hakuna timu inayotaka kushuka daraja, nchi ngumu sana hii
Mchawi Ni yeye mwenyewe kishingo kajiua mwenyewe anakariri kupanga kikosi,anashindwa kupanga kikosi kulingana Na miundo mbinu.
ReplyDeleteHuyu kocha bado anajifunza hata tulipotwaa ubingwa bado hakuwapa nafasi wachezaji wa mabenchi kama Shibob, Rashid Juma,Deo kanda kwa sababu ya kukariri kikosi
ReplyDeleteUna uhakika Deo Kanda hakupewa nafasi muwe mnajitathmini kabla ya ku comment kocha huyu huyu tulivyofungwa na Mtibwa fainali kombe la Mapinduzi mlitaka aondoke, leo tumecheza mechi mbili kwenye viwanja vigumu na timu ngumu kama mtibwa mnalaumu hakuna mpira wa kushinda 6 - 0 kila mechi hakuna dunia nzima,na kwa taarifa yako timu nyingi zimejifunza ligi iliyoisha hakuna timu inayotaka kushuka daraja, nchi ngumu sana hii
DeleteMechi mbili tu moja tumeshinda, nyingine droo kwenye viwanja ambavyo wote tunajua ni changamoto kushinda mmeshaanza kulaumu nchi ngumu sana hii
ReplyDelete