September 19, 2020

3 COMMENTS:

  1. Sio sawa kwa kagere kocha aonywe mapema

    ReplyDelete
    Replies
    1. tunaingia kwenye lawama ambazo sio muda wake ndio kwanza tumecheza mechi mbili. kuna wachezaji wapya bado kocha anatizama nani acheze na nani. au tuchezeshe kimazoea timu ya mwaka jana

      Delete
  2. Kuna haja ya wanasimba kuamka na kujua kuwa kuna mbinu chafu za kuzoofisha Simba na kuleta mgogoro kwa nia ya kuhakikisha kuwa haichukui ubingwa mwaka huu. hizi njama zinafanywa kwa makusudi na wapinzani wetu. umeshajiuliza inakuwaje tumecheza mechi mbili tu h gazeti linaandika eti KAGERE NDIO BASI TENA. jiulize kwanini hawaandiki akina wawa au ajibu au erasto ambao hawajacheza kabisa. jiulize kwann tumecheza viwanja vigumu hatukuhitaji mpira tulitaka point mtu anaandika eti tumecheza vibaya. Hizi zote ni hujuma. kwenye ukweli uongo hujitenga muda utawaumbua

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic