tunaingia kwenye lawama ambazo sio muda wake ndio kwanza tumecheza mechi mbili. kuna wachezaji wapya bado kocha anatizama nani acheze na nani. au tuchezeshe kimazoea timu ya mwaka jana
Kuna haja ya wanasimba kuamka na kujua kuwa kuna mbinu chafu za kuzoofisha Simba na kuleta mgogoro kwa nia ya kuhakikisha kuwa haichukui ubingwa mwaka huu. hizi njama zinafanywa kwa makusudi na wapinzani wetu. umeshajiuliza inakuwaje tumecheza mechi mbili tu h gazeti linaandika eti KAGERE NDIO BASI TENA. jiulize kwanini hawaandiki akina wawa au ajibu au erasto ambao hawajacheza kabisa. jiulize kwann tumecheza viwanja vigumu hatukuhitaji mpira tulitaka point mtu anaandika eti tumecheza vibaya. Hizi zote ni hujuma. kwenye ukweli uongo hujitenga muda utawaumbua
Sio sawa kwa kagere kocha aonywe mapema
ReplyDeletetunaingia kwenye lawama ambazo sio muda wake ndio kwanza tumecheza mechi mbili. kuna wachezaji wapya bado kocha anatizama nani acheze na nani. au tuchezeshe kimazoea timu ya mwaka jana
DeleteKuna haja ya wanasimba kuamka na kujua kuwa kuna mbinu chafu za kuzoofisha Simba na kuleta mgogoro kwa nia ya kuhakikisha kuwa haichukui ubingwa mwaka huu. hizi njama zinafanywa kwa makusudi na wapinzani wetu. umeshajiuliza inakuwaje tumecheza mechi mbili tu h gazeti linaandika eti KAGERE NDIO BASI TENA. jiulize kwanini hawaandiki akina wawa au ajibu au erasto ambao hawajacheza kabisa. jiulize kwann tumecheza viwanja vigumu hatukuhitaji mpira tulitaka point mtu anaandika eti tumecheza vibaya. Hizi zote ni hujuma. kwenye ukweli uongo hujitenga muda utawaumbua
ReplyDelete