September 29, 2020

 


BAADA ya mzunguko wa nne kukamilika kwa mechi tisa kuchezwa viwanja tofauti sasa ni mwendo wa kuikimbizia raundi ya tano.


Hii hapa ratiba ya raundi ya tano ipo namna hii kwa msimu wa 2020/21:-


Oktoba 2

Dodoma Jiji v Ruvu Shooting, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.


Oktoba 3


Yanga v Coastal Union, Uwanja wa Mkapa.


Mbeya City v Prisons, Uwanja wa Sokoine.

Namungo v Mwadui, Uwanja wa Majaliwa.

Gwambina v Ihefu.

Oktoba 4


Azam FC V Kagera Sugar, Uwanja wa Azam Complex.

Biashara United v Mtibwa Sugar.

JKT Tanzania v Simba, Uwanja wa Jamhuri Dodoma.


Oktoba 5

KMC v Polisi Tanzania, Uwanja wa Uhuru.

2 COMMENTS:

  1. Ni ratiba nzuri tunaomba iendelee bila kubadilishwa kwa maendeleo ya soka nchini Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Kiukweli imepangiliwa vizur wajithd kutoivuruga tu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic