UONGOZI wa Simba umesema kuwa una mpango wa kucheza mchezo wa kirafiki na Klabu ya Al Ahly ya nchini Misri kwa siku za hivi karibuni ili kuongeza mahusiano mazuri zaidi kwenye masuala ya michezo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez alitembelea makao makuu ya Klabu ya Al Ahly ya Misi na kufanya ziara kwa ajili ya kujifunza zaidi.
Akiwa huko aliongozana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Mulamu Nghambi waliweza kutembelea makao makuu ya Klabu ya Al Ahly yaliyopo jijini Cairo, Misri na kukubaliana kushirikiana kwenye maeneo ya biashara, ufundi na uendelezaji wa wachezaji kwa kujenga kituo cha kukuza vipaji kwa ushirikiano na timu ya Al Ahly ikiwa ni kituo cha kwanza nje ya Misri (barani ya Afrika) ambacho kitaendeshwa na Simba na klabu hiyo.
Pia wamekubaliana hapo baadaye timu hiyo kuja nchini kucheza mchezo wa kirafiki na Simba SC.
This is simba brother
ReplyDeleteHamna lolote hpo alienda kuuza juic na sabuni za unga kwni nani hajui
ReplyDeleteUlitaka aende kuuza gesi na magodoro
DeleteKwani mvua zimeanza mbona nasikia KROO KROO KRROOOOOOOOO CHURA FC aka YANGA AFILIKA
ReplyDeleteBinti pole sana inaelekea unawashwawashwa sana
Deletehujakosea nasikia ndonga inawashawasha unataka kunitukunu YANGA AFILIKA
DeleteCEO anayejitambua utamuona kiutendaji wa vitendo. Simba tunapata kimataifa wengine wanajikongoja.
ReplyDeleteKupaa kimatendo wengine wajifunze kwetu.
ReplyDeleteTatizo ka Ugonjwa ka Haji huyo dada naye kana mpata Bange ya zamani na mwandamo,Alhaly ya Misri au Pemba Zanzibar? Maana napo Waarabu wengi.
ReplyDeleteMara paap nyani kakurupuka anafikiri yupo kwenye shamba la mahindi
DeleteHuyo amezoea mtoko wa khababu na Kachori apelekwe meza ndefu jina lake linaruhusu ale Kitimoto kidogo maruwe ruwe ya Mo yamtoke anadeka miss wetu eti Waarabu si akusanye wa Kariakoo na Magomeni .Mikia hoiiooooii
ReplyDeleteUmekosa point lala tu ww kiazi
DeleteWw ushaolewa
Delete