Chelsea imeitwanga Maccabi Haifa kwa mabao 4-0 ikiwa nyumbani Tel Aviv,
Israel.
Mabao ya Chelsea katika mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yamefungwa
na Cahill, William, Oscar na Zouma.
CHELSEA: Begovic;
Azpilicueta, Cahill, Terry (c)/Zouma, Rahman; Fabregas, Matic; Willian, Oscar,
Hazard/Pedro; Costa
SUBS: Blackman,
Ivanovic, Zouma, Mikel, Loftus-Cheek, Pedro, Remy
Kwa ushindi huo, Chelsea imechukua uongozi wa Kundi G baada ya kufikisha pointi 10, sawa na FC Porto ambayo imechezea kichapo cha mabao 2-0.
0 COMMENTS:
Post a Comment