September 28, 2020

8 COMMENTS:

  1. TFF HAIKO SERIOUS VITENDO HIVI VIMEKUWA VIKIJIRUDIA KWANINI HAMCHUKUI HATUA KALI KWA MASHABIKI HUSIKA? KWANINI WASIPIGWE MARUFUKU KUJA UWANJANI?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata mimi ni nashangaa tamko jepesi mpaka yatokee maafa ndio tutawaona hivi wanashindwa kujifunza yanayotokea nchi nyingine kama misri

      Delete
  2. Hao washamba hawajui maana ya mpira na ushindani wa kimpira. Mwisho wastaarabu watashindwa kuvumilia na kujibu mapigo.
    TFF acheni kulea huu ujinga utakuja kusababisha maafa.
    FIFA fair play.

    ReplyDelete
  3. Nikiwa ni mshabiki wa Yanga natoa rai kwa viongozi wa matawi na viongozi wa vikundi vya ushangiliaji wawe mstari wa mbele kuwafichua hawa wahuni wachache wanaotuharibia jina maana nina hakika wanawaona na hata wengine wanawafahamu.Sidhani kama kuna mshabiki wa Yanga anayejitambua na kujiheshimu anaweza kuunga mkono ujinga huu,ifike mahali tuseme sasa basi tumechoka kuharibiwa jina na sifa yetu ya uungwana tangu zamani,nawaza mshabiki wa Yanga atajisikiaje pindi atakapotambua kuwa mshabiki wa Simba aliyepigwa ni rafiki yake au ndugu yake hali ya kuwa waliofanya uovu huo anawajua;je atawaacha tu watambe mtaani au naye atalipiza kisasi bila kujali ushabiki wake wa Yanga maana damu ni nzito kuliko maji.Ikiwezekana wahuni hawa wawe wanapigwa picha kwa kutumia simu halafu waripotiwe kwenye vyombo vya usalama wapate fundisho.Nikiwa ni mshabiki wa Yanga nakerwa sana na ujinga huu,tukio kama hili likijirudia tuchukue hatua ili iwe mfano kwa wengine.YANGA ni ya WAUNGWANA ushenzi sio jadi yetu.

    ReplyDelete
  4. Tff fungia mashabiki kutokuingia uwanjani iwe funzo na kwamashabiki wengine, kwa mfumo huu wakulesna leana utatujutisha siku moja.

    ReplyDelete
  5. TFF ni kweli hawaelewi uzito wa tatizo hili au wanawaogopa yanga? Hii hali ni hatari kwa ustawi wa mpira wetu, tutafungiwa kama hatuko makini. Naamini viongozi wa yanga wanalea huu upuuzi

    ReplyDelete
  6. Wangeweka kipendele mashabik timu pinzani inawaletea fujo wapinz wao faini milioni

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic