FT: Kagera Sugar 0-1 Yanga
Uwanja wa Kaitaba
Zimeongezwa dakika 3
Dakika ya 90, Mukoko anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 87 Carlinhos anapiga kona inaokolewa na Chalamanda
Dakika ya 83 Mauya alitoka anaingia Niyonzima
Dakika ya 71 Mukoko anapachika bao kwa guu la kulia
Dakika ya 64 Kagera Sugar wanapeleka mashambulizi Yanga
Dakika ya 55 Kaseke anaingia anatoka Shomari, Carlinhos anaingia anatoka Yacouba
Dakika ya 49 Mauya anapewa huduma ya kwanza
Hakuna mabadiliko yaliyofanywa
Mapumziko:-Kagera Sugar 0-0 Yanga
Kipindi cha kwanza
Uwanja wa Kaitaba
Zimeongezwa dakika 2
Dakika ya 45 Sarpong anachezewa faulo na Eric anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 42 Kibwana Shomari anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 34 Erick Mwijage anaingia anatoka Mohamed Ibrahim kwa Kagera Sugar
Dakika ya 29 Yacouba anachezewa faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 23 Sonso anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 21 Mustapha anapeleka mashambulizi Kagera Sugar
Dakika ya 20 Mnata anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 16 Kagera Sugar wanapeleka mashambulizi Yanga
Dakika 15 za mwanzo zimekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu
Mchezo kwa sasa Uwanja wa Kaitaba ni kati ya Kagera Sugar dhidi ya Yanga ikiwa ni kipindi cha kwanza.
Mashabiki wengi wamejitokeza kushuhudia mchezo wa leo ambao umeanza kwa kasi ndani ya Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.
Ni mchezo wa kwanza kwa Yanga kwa msimu wa 2020/21 nje ya Dar







Yanga ile ile jezi2 ndo mpya
ReplyDeletetareh 18 yachelewa kagera wananyimw penalt ya waz kabsa *SIAMI BONGO*
Mimbaaa zaa tuone , kumbe Penalt ila hawajafunga goal.
ReplyDelete18oct ndo unaingia period maana Wanaumme hawanaga siku
ReplyDeleteYANGA AFILIKA
DeleteASANTE SONSO. Hamna timu hapo ni kundi la wachezaji tu.
ReplyDeleteKama hamna team lkn inashinda je ikiwa Team?pili ombeni mtolewe mapema champions league la sivyo bye bye ,cse umeona Sonzo eti hongera je Chanongo alivyo kuwa anaharibu movie za Mtibwa .Unadhani Team manake nini?
ReplyDeleteHa ha ha ha ha ha tutashuhudia mengi sana msimu huu kutoka yanga,mungu atupe uhai mrefu ili tufike huko.
ReplyDeleteSONSO ANAISONSOA KWA TUISILA . Tarehe 18 si ifike tu jamani, ili wasajili kikosi kingine kipya.
ReplyDeleteLabda mnunue mechi kama kawaida yenu
DeleteKama mlivomnunua SONSO maana AMEISONSOA Vizuri. teh teh teh teh YANGA AFILIKA wanachekesha
DeleteMo Mwenyewe kafilisika mmekopwa timu mmetumbua macho tu. Dr na Zito wanawasaidia mnawaona wachawi
ReplyDeleteAaha kweli Mo kafiliska na kweli GSM wana ela wamemnunua SONSO si unaona ALIVYOISONSOA
DeleteJuzi mmepigwa na Green warriors na wachezaji wenu wazee hao akina Onyango
ReplyDeleteSimba kweli ni wazee ila ni WAZEE WA 4GGGGG na kwa huo utopolo wenu mlionyesha leo tar 18 huyo UKOKO WA KIPORO CHA JUZI atakaba mpaka atatoka machozi
ReplyDeleteBabu Kagere kashasoma hali anaomba anaomba kuondoka. Mo kanyanganywa mashamba ya Mkonge
ReplyDeleteYIPKE kaja na staili nyingine eti anajiita YACOUBA SOGNE tumemstukia ni YIPKE kajibadilisha kdg tu
DeleteMsiongee sana kwanza Nauli ya kurudia mnayo, waliikeni hata Mbao fc mcheze nao mechi ya kirafiki mpate nauli ya kurudia. Ile ya Mlandege ilikuwa ni ya kuendea
ReplyDeleteBora na cc tunapga mech ya kirafki ndo 2napata hela sio kwenda kupga magot kwa mo kama watoto wa mitaan yaan machokora
DeleteManara kasingizia anaumwa ili akae pembeni na sasa hivi ameanza kuingia mgogolo na Mo baada ya kuanza kutangaza Bidhaa za Barhesa.Kashasoma hali. Na mwaka huu ubingwa muusahau
ReplyDeleteKweli Yanga AFILIKA atachukua ubingwa maana SONSO si anacheza timu zote za ligi kuu bara atakuwa ANAZINSONSOA tu kwa kweli. Yanga AFILIKA wanawaza ubingwa,ile timu ya ZAHERA ina afadhali mara kumi ya hii, YIKPE mjanja karudi kwao eti kabadilisha jina anajiita YACOUBA teh teh teh teh teh We tarehe 18 si ufike tu jamani tujipigie wakina YIKPE na UKOKO wa juzi
DeleteHatuna Morrison Wala Tshishimbi .
ReplyDeleteNilikwambia je Mo kawakopa Team sasa kaweka nyumba yake ndogo mmekwishaaaa
ReplyDeleteYanga AFILIKA watafilika msimu huu
DeleteChupa mpya mvinyo ule ule. Baada ya raundi 8 visingizio na lawama dhidi ya TFF yataanza.
ReplyDeleteBaraka Matogolo je???
ReplyDeleteAliwasaidia mkapata sare na Mtibwa
ReplyDeleteMsalimie Oscar Oscar
ReplyDelete