September 19, 2020

 







FT: Kagera Sugar 0-1 Yanga
Uwanja wa Kaitaba

Zimeongezwa dakika 3
Dakika ya 90, Mukoko anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 87 Carlinhos anapiga kona inaokolewa na Chalamanda

Dakika ya 83 Mauya alitoka anaingia Niyonzima

Dakika ya 71 Mukoko anapachika bao kwa guu la kulia
Dakika ya 64 Kagera Sugar wanapeleka mashambulizi Yanga

Dakika ya 55 Kaseke anaingia anatoka Shomari, Carlinhos anaingia anatoka  Yacouba

Dakika ya 49 Mauya anapewa huduma ya kwanza

Hakuna mabadiliko yaliyofanywa

Mapumziko:-Kagera Sugar 0-0 Yanga
Kipindi cha kwanza
Uwanja wa Kaitaba

Zimeongezwa dakika 2
Dakika ya 45 Sarpong anachezewa faulo na Eric anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 42 Kibwana Shomari anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 34 Erick Mwijage anaingia anatoka Mohamed Ibrahim kwa Kagera Sugar
Dakika ya 29 Yacouba anachezewa faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 23 Sonso anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 21 Mustapha anapeleka mashambulizi Kagera Sugar

Dakika ya 20 Mnata anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 16 Kagera Sugar wanapeleka mashambulizi Yanga
Dakika 15 za mwanzo zimekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu
Mchezo kwa sasa Uwanja wa Kaitaba ni kati ya Kagera Sugar dhidi ya Yanga ikiwa ni kipindi cha kwanza.

Mashabiki wengi wamejitokeza kushuhudia mchezo wa leo ambao umeanza kwa kasi ndani ya Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.

Ni mchezo wa kwanza kwa Yanga kwa msimu wa 2020/21 nje ya Dar 

27 COMMENTS:

  1. Yanga ile ile jezi2 ndo mpya
    tareh 18 yachelewa kagera wananyimw penalt ya waz kabsa *SIAMI BONGO*

    ReplyDelete
  2. Mimbaaa zaa tuone , kumbe Penalt ila hawajafunga goal.

    ReplyDelete
  3. 18oct ndo unaingia period maana Wanaumme hawanaga siku

    ReplyDelete
  4. ASANTE SONSO. Hamna timu hapo ni kundi la wachezaji tu.

    ReplyDelete
  5. Kama hamna team lkn inashinda je ikiwa Team?pili ombeni mtolewe mapema champions league la sivyo bye bye ,cse umeona Sonzo eti hongera je Chanongo alivyo kuwa anaharibu movie za Mtibwa .Unadhani Team manake nini?

    ReplyDelete
  6. Ha ha ha ha ha ha tutashuhudia mengi sana msimu huu kutoka yanga,mungu atupe uhai mrefu ili tufike huko.

    ReplyDelete
  7. SONSO ANAISONSOA KWA TUISILA . Tarehe 18 si ifike tu jamani, ili wasajili kikosi kingine kipya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Labda mnunue mechi kama kawaida yenu

      Delete
    2. Kama mlivomnunua SONSO maana AMEISONSOA Vizuri. teh teh teh teh YANGA AFILIKA wanachekesha

      Delete
  8. Mo Mwenyewe kafilisika mmekopwa timu mmetumbua macho tu. Dr na Zito wanawasaidia mnawaona wachawi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aaha kweli Mo kafiliska na kweli GSM wana ela wamemnunua SONSO si unaona ALIVYOISONSOA

      Delete
  9. Juzi mmepigwa na Green warriors na wachezaji wenu wazee hao akina Onyango

    ReplyDelete
  10. Simba kweli ni wazee ila ni WAZEE WA 4GGGGG na kwa huo utopolo wenu mlionyesha leo tar 18 huyo UKOKO WA KIPORO CHA JUZI atakaba mpaka atatoka machozi

    ReplyDelete
  11. Babu Kagere kashasoma hali anaomba anaomba kuondoka. Mo kanyanganywa mashamba ya Mkonge

    ReplyDelete
    Replies
    1. YIPKE kaja na staili nyingine eti anajiita YACOUBA SOGNE tumemstukia ni YIPKE kajibadilisha kdg tu

      Delete
  12. Msiongee sana kwanza Nauli ya kurudia mnayo, waliikeni hata Mbao fc mcheze nao mechi ya kirafiki mpate nauli ya kurudia. Ile ya Mlandege ilikuwa ni ya kuendea

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bora na cc tunapga mech ya kirafki ndo 2napata hela sio kwenda kupga magot kwa mo kama watoto wa mitaan yaan machokora

      Delete
  13. Manara kasingizia anaumwa ili akae pembeni na sasa hivi ameanza kuingia mgogolo na Mo baada ya kuanza kutangaza Bidhaa za Barhesa.Kashasoma hali. Na mwaka huu ubingwa muusahau

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli Yanga AFILIKA atachukua ubingwa maana SONSO si anacheza timu zote za ligi kuu bara atakuwa ANAZINSONSOA tu kwa kweli. Yanga AFILIKA wanawaza ubingwa,ile timu ya ZAHERA ina afadhali mara kumi ya hii, YIKPE mjanja karudi kwao eti kabadilisha jina anajiita YACOUBA teh teh teh teh teh We tarehe 18 si ufike tu jamani tujipigie wakina YIKPE na UKOKO wa juzi

      Delete
  14. Hatuna Morrison Wala Tshishimbi .

    ReplyDelete
  15. Nilikwambia je Mo kawakopa Team sasa kaweka nyumba yake ndogo mmekwishaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yanga AFILIKA watafilika msimu huu

      Delete
  16. Chupa mpya mvinyo ule ule. Baada ya raundi 8 visingizio na lawama dhidi ya TFF yataanza.

    ReplyDelete
  17. Aliwasaidia mkapata sare na Mtibwa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic