September 26, 2020

 



FT: Simba 3-0 Gwambina FC
Uwanja wa Mkapa
Goal Mugalu dk 90+3
Zimeongezwa dk 3
Dakika 90 zinakamilika
Dakika ya 86 Gwambina wanapeleka mashambulizi kwa Manula
Dakika ya 70 Jimson anaingia anatoka Nonga wa Gwambina
Dakika ya 67 Bwalya anatoka anaingia Morrison
Dakika ya 66 Gwambina wanalifuata lango la Manula
Dakika ya 59 Yusuph Dunia anapiga faulo inakwenda nje kidogo ya 18
Dakika ya 54 Bwalya anachezewa faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 50 Wawa goal la pili kwa mpira wa adhabu nje ya 18
Dakika ya 46 Gwambina wanapeleka mashambulizi Simba
Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Mkapa
Mapumziko

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika

Simba 1-0 Gwambina

Ndani ya kipindi cha kwanza Gwambina imeweza kucheza kwa kujilinda zaidi huku kipa namba moja wa Gwambina Mohamed Makaka akiwa ni nyota kwa kuwa ameokoa michomo miwili ya hatari
Imeongezwa dakika moja
Dakika ya 45 mchezaji wa Gwambina anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 44 Luis anachezewa faulo hakizai matunda
Dakika ya 40 Goal Kagere

Dakika ya37 Gwambina wanapeleka mashambulizi Simba
Dakika ya 32 Gwambina wanapeleka mashambulizi Gwambina
Dakika ya 31 Kapombe anapeleka mashambulizi Gwambina
Dakika ya 23 Luis anapiga kona inaokolewa na kipa wa Gwambina 
Dakika ya 22 Kagere anachezewa faulo karibu na eneo la 18
Dakika ya 19 Onyango anapeleka mashambulizi Gwambina
Dakika ya 18 Nonga anachezewa faulo
Dakika ya 17 Tshabalala anapeleka mashambulizi Gwambina
Dakika ya 16 Gwambina wanaokoa
Dakika ya 15 Kagere anafanya jaribio linakwenda nje ya lango.
Dakika ya 14 Bwalya anafanya jaribio linaokolewa na mabeki.
Dakika ya 9 Gwambina walipata kona haikuzaa matunda.
Simba 0-0 Gwambina
Uwanja wa Mkapa
Kipindi cha kwanza


MCHEZO unaoendelea kwa sasa Uwanja wa Mkapa ni kati ya Simba na Gwambina FC.


Kipindi cha kwanza kwa sasa na mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona ushindani ndani ya uwanja.

3 COMMENTS:

  1. Usajili makini, mugalu Jambazi wa magolikipa, game 4 magoli 4

    ReplyDelete
  2. Kagere,mugalu,chama,Morrison dah n.k mpaka nashindwa kuendelea, team nzima vifaa kudadeki atakaye jitokeza mbele hatukembi vyuma tu akalale mbele. Wanaosema mmesajili wazee waache wabwate sisi soka uwanjani na makombe tunakusanya

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic