October 12, 2020


VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Azam FC, leo Oktoba 12 itakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya  Fountain Gate SC .


Mchezo huo utachezwa leo Uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00 usiku ikiwa ni kwa ajili ya maandalzi ya mechi zao za Ligi Kuu Bara.


Azam FC ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 15 baada ya kucheza mechi tano kibarua chake kinachofuata kwenye ligi ni dhidi ya Mwadui FC.


Mchezo wao wa kirafiki uliopita Azam FC ilishinda mabao 3-1 ilikuwa dhidi ya Mafunzo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic