October 13, 2020

 


RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),  Wallace Karia leo Oktoba 13, 2020 ameunda Kamati ya Ushindi ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars.

 Kamati hiyo itaongozwa na Ghalib Said Mohamed wakati Makamu wake ni Salim Abdallah na Katibu wa Kamati hiyo ni Hersi Said. Wengine ambao wameteuliwa ni pamoja na Haji Manara na Jerry Muro ambao ni wajumbe.


Taarifa iliyotolewa leo imeeleza kuwa:-


2 COMMENTS:

  1. Mchanganyiko huo uwe somo tosha kwa Wale wahuni waliokuwa wakichania watu nguo zao na kuwakaba roho wajue kuwa mpira unawakutanisha watu wa duniani kote na kujaalia baina yao kujuwana na mapenzi na wajue toka miaka thamanini Iiliyopita kuwa Simba ya Yanga ni watani wa jadi na sio maadui kama wanavo tafsiri wao

    ReplyDelete
  2. MASHABIKI WA SIMBA NI MAANDAZI SANA JAMBO LOLOTE WAKIFANYA WAO NI SAWA ILA WAKIFANYIWA WAO NI TATIZO MIMI NILISHACHANIWA JEZI YANGU MECHI ILIKUA SIMBA NA TP MAZEMBE SIMBA ALIKUFA 3 KWA MCHINA SI KUOWAONA KINA MANARA NA WENZIE WAKICHONGA KAMA LEO WANAVYOCHONGA

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic