KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars, Seleman Matola amesema kuwa nyota wao John Bocco hatakuwa sehemu ya kikosi kitakchovaana na Burundi, Oktoba 11 Uwanja wa Mkapa.
Stars iliingia kambini mapema Oktoba 5 kujiandaa na mchezo wa kirafiki uliopo kwenye Kalenda ya FIFA dhidi ya Burundi uliopangwa kupigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.
Matola amesema kuwa katika kikosi cha Stars kwa sasa ni Bocco pekee ndiye atakayeukosa mchezo huo dhidi ya Burundi lakini wengine wote watakuwepo.
Matola amesema kuwa Bocco alipata majeraha tangu akiwa Simba mpaka akajiunga kambini.
“Katika kikosi chetu mpaka sasa ni mchezaji mmoja ambaye atakaukosa mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi ni Bocco pekee, lakini wengine wote wapo fiti kwa ajili ya mchezo huo.
"Himid Mao yeye leo atawasili kujiunga na wengine ila kikubwa ni kwamba mchezo utakuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa wapinzani wetu wana kikosi kizuri nasi pia tuna wachezaji wazuri," amesema.
Mm nilisema mwanzo kua matola kaenda na watu wake kutoka simba kwa ajili ya kugawana posho tu, mana haiwezekani mchezaji kua majeraha hata timu yake hachezi halafu akaitwa timu ya Taifa,
ReplyDeleteAcha ushamba wewe kila mara mnalialia tu kuhusu uteuzi wa Stars. Hivi mtaelimika lini nyie mazwazwa? Alieteua timu ni Ndayiragije lakini kazi yenu kumshupalia Matola. Mshindwe mpaka mlegee kila mahali mazwazwa nyie
DeleteUkitaka amchakue Shombe*2 kalinyo au?
DeleteDebu tupu haliachi kuvuma
ReplyDeleteKateue wewe
ReplyDeleteHicho kiazi hpo juu kinawaza Simba na utopolo tu hakijui mpira
ReplyDeleteposho sh ngapi, dollar 100 kwa siku ni ya kumtoa boko kihoro? hizo siku tatu kapata laki sita ndo ya kuwachanganya yeye na matola?
ReplyDeleteNi tanzania pekee ambayo mchezaji majeruhi anaitwa timu y taifa wakt hta kwnywe timu yake hachezi
ReplyDelete