UONGOZI wa Klabu ya Yanga leo Oktoba 16 umemtambulisha rasmi Kocha Mkuu Cedric Kaze, ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili kuwa ndani ya klabu hiyo.
Kaze alitua Bongo usiku wa kuamkia leo akitokea nchini Canada na kupokelewa na viongozi wa Yanga pamoja na mashabiki.
Amekuja kuchukua mikoba ya Zlatko Krmpotic ambaye alifutwa kazi Oktoba 3 kutokana na kile kilichoelezwa kuwa hakuwa na mwendo mzuri ndani ya kikosi hicho.
Raia huyo wa Burundi amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi cha Yanga kwa kuwa anakitambua na anahitaji ushirikiano.
Mkataba huo utamfanya awatumikie Wananchi hadi 2020/22.
Juhudi za kumpatia kibali cha kazi ziwe haraka kama hakijapatikana
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
DeleteInamhusu kwa sababu ni mwana Yanga na ana haki ya kuchangia mawazo yake
DeleteKwani wewe Jackson timu ni yako mwenyewe au ya familia? mbona wenzako wakitoa mawazo utafikiri unahihudumia kwa kila hitaji duuuu
Deletetwataka kikombe kije jangwani
ReplyDeleteLabda kikombe cha kahawa mabingwa wa nchi mara mfululizo bado mara 3 tena
ReplyDeleteLabda mnunue kama miaka iliyopita
DeleteKwani shida niniiiiiii hadi unateseka na mambo ya Yangaaaaa.Kila MTU aizungumzie timu yake
Deletemwaka huu chuma kwa udongooo mpakaaa kielewekeee
ReplyDeleteMi nashndwa kuwaelewa baazi ya mashabki kwani wanafanya kama wanajuwa kila k2 embu fikiria kwa akili yako ya kawaida mtu mpaka aje kufka huku kwamba hawajui kitu fulan kinahtajika tuache ufyatu ndo maana tunakua makocha wakat hatujui lolote
ReplyDelete