October 3, 2020

 


LEO Oktoba 3, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni raundi ya tano, mechi nne zitapigwa viwanja vinne tofauti kusaka pointi tatu itakuwa namna hii:-


Gwambina v Ihefu, majira ya saa 8:00 mchana, Uwanja wa CCM Kirumba.


Namungo v Mwadui FC majira ya saa 10:00 joni, Uwanja wa Majaliwa.


Mbeya City v Tanzania Prisons, Uwanja wa Sokoine, majira ya saa 10:00.

Yanga v Coastal Union, majira ya saa 1:00 usiku, Uwanja wa Mkapa. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic