BREAKING: Mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Ndanda hautachezwa leo Oķtoba 13 kutokana na hali ya hewa baada ya mvua kunyesha leo ndani ya Bongo.
Mchezo huo ulipangwa kuchezwa majira ya saa 11:00 jioni ikiwa ni sehemu ya timu hizo kujiweka sawa kwa ajili ya mechi zao za ligi.
Simba inashiriki Ligi Kuu Bara na Ndanda inashiriki Ligi Daraja la Kwanza baada ya kushuka msimu uliopita wa 2018/19.
Patrick Rweyemamu, meneja wa Simba amesema:"Hakutakuwa na mechi leo tutatoa."
Bora isingehairishwa ili wachezaji wazoee hali zote
ReplyDeletesjajua viongozi wamelenga viingilio au kuimarisha timu tuma meche za kimataifa zimawezwa kuchezwa kwenye mvua kwa nini hii isiwe sehemu ya maandaliz?
ReplyDeleteNakuungeni mkono. Msimu ulimaluzika tulishuhudia mechi nyingi zkichezwa ndani ya madimbwi ya maji ya mvuwa za masika na vuli, hilo si jambo geni kabisa.
ReplyDeleteAcheni utoto ulicheza kwenye Hali ya hewa mbovu unaweza kupata majeruhi viongozi wameliona hilo
ReplyDelete