October 28, 2020

7 COMMENTS:

  1. Na bado huyu ataivuruga sana simba,japo wenyewe bado hawajastuka.ngoja tusubiri tuone wahenga walisema mwenye asili yake hawezi kuiacha kamwe.

    ReplyDelete
  2. Tatizo la mwandishi kuwa mwanachama wa hivi vilabu na kushindwa kutofautisha mahaba yake

    ReplyDelete
  3. Kamati ya nidham ya TFF haija kutana mwandishi anatoa hukumu ufala ulioje.

    ReplyDelete
  4. Ndo tabu yetu watz yaan hata kamati haijakutana kutoa maamuzi tayari kuna majuha wameshatoa hukumu. Yaan tyr mmeshafanya kazi ya kamati sasa Luna haja gani ya kuwa na Jamaica: Hebu tuwaache kamati wafanye kazi bila shinikizo lolote.

    ReplyDelete
  5. Uto bado wanamtaka Mirrison na wanamuogopa ndo maana wanapambana asicheze tarehe 7 novemba...
    Tupeni ripoti za morrison za CAS,CAF na FIFA maana ya TFF mmeshaamua nyinyi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic