BAADA ya ratiba ya dabi iliyokuwa inatarajiwa kuchezwa Oktoba 18 kufanyiwa mabadiliko na Bodi ya Ligi Tanzania, (TBLB) kupelekwa Novemba 7, hii hapa ratiba ya mechi za Novemba ndani ya Ligi Kuu Bara:-
Simba v Kagera Sugar, Uwanja wa Mkapa. Novemba 4.
Yanga v Simba, Novemba 7, Uwanja wa Mkapa.
Coastal Union v Yanga, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.Novemba 21
Dodoma Jiji v Simba, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Novemba 24.
Simba v KMC, Novemba 29. Uwanja wa Mkapa
Mbona umeweka mechi moja tuu ya yanga? Na kwa nini yanga arudiane na coastal wakati bado kuna mechi rundo hawajacheza na timu zingine?
ReplyDeleteItakuwa ratiba ya mchangani kama Yanga atarejeana na coast wakati ana mechi rundo za raundi ya kwanza hajazicheza
ReplyDeleteHuyu nae mwandishi wa habar n chiz kwel
ReplyDelete