October 12, 2020

 


KIKOSI cha Fountain Gate FC ya jijini Dodoma, imezindua nembo yake mpya itakayotumika ndani ya timu hiyo.

 Fountain Gate imeanzia Daraja la Pili msimu uliopita baada ya kuchukua nafasi ya Kumuyange FC ya Kagera (Kwa makubaliano binafsi ya pande mbili) na kuibuka mabingwa wa SDL 2019/2020 na kupanda FDL ambapo mpaka sasa ndio timu inayoongoza kundi A.

Mchezo wake wa kwanza ulikuwa ni dhidi ya Alliance FC ambayo ilikubali kichapo cha mabao 3-0 Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

  Ofisa Habari wa timu hiyo Juma Ayo amesema kuwa  hesabu zao ni kuona wanaendelea kuwa imara na kupata pointi tatu kwenye mechi zao zote.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic