KESHO Oktoba 17 kikosi cha Simba kitashuka uwanjani kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege FC ikiwa ni kwa ajili ya kujiweka sawa na maadalizi ya Ligi Kuu Bara.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 11:00 Uwanja wa Azam Complex.
Kiingilio kwenye mechi hiyo ya kirafiki kwa mzunguko ni 5,000 (buku tano ) huku VIP ikiwa ni 7,000.
Mchezo wake wa ligi Simba itacheza na Kagera Sugar Oktoba 4, Uwanja wa Mkapa.
"Mchezo wake wa ligi Simba itacheza na Kagera Sugar Oktoba 4, Uwanja wa Mkapa"..........October 4 ya mwaka gani? Leo ni tarehe 16 October; sijaelewa hapo au ndo za kuambiwa changanya na za kwako!!!!!
ReplyDeleteKabla ya Kagera mnyama ana mechi kwanza na TZ Prisons tarehe 22.10, na Ruvu Shooting tarehe 26.10 na Mwadui pia tarehe 31.10.
ReplyDeleteBila ya shaka October 4 itakuwa ya 2021
ReplyDeleteYaaa mwakani October 4/2021
ReplyDelete