November 26, 2020


BALOZI wa Tanzania nchini Nigeria Benson Bana ametembelea kambi ya Simba jijini Abuja na kupewa jezi ya Simba itakayotumika Kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. 


Simba Novemba 29 itamenyana na Plateau United mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika


Kiongozi huyo amesema kuwa ana imani ya kuona timu ya Simba ikipata matokeo chanya Kwenye mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.


Mratibu wa Simba, Abbas Ally amesema kuwa maandalizi yapo sawa na wachezaji wapo tayari kwa mchezo huo kabla ya ule wa marudio utakaochezwa Dar.

6 COMMENTS:

  1. Mwenyezimungu atatujaalia inshaallah tutashinda goli 3 inshaallah

    ReplyDelete
  2. Inshaallah Mwenezimungu ataititikia duwa yako kwasababu kwasababu Amesema niombeni nikukubalieni

    ReplyDelete
  3. Nguvu moja tutafika malengo yetu, tutawakilisha vyema taifa

    ReplyDelete
  4. Replies
    1. Hatu Vai pempasi sisi,akili za utopolo mnawaza pempasi tu, Simba Ni team kubwa hatuvai pempasi hata siku moja.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic