KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AZAM FC KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Novemba 25 dhidi ya Azam FC mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanka wa Azam Complex.Mchezo huu unatarajiwa kuanza saa 1:00 usiku.
Kocha aliyekuwa anafundisha academy ya barcelona mbona utafikiri mwanafunzi wa mourinho
ReplyDelete