November 7, 2020


Uwanja wa Mkapa, Yanga imeambulia pointi moja mbele ya Simba kwa kufungana bao 1-1.

Yanga ilianza kupachika bao la kwanza kupitia kwa Michael Sarpong kwa penalti na Simba iliweka usawa kupitia kwa Joash Onyango 
FT: Yanga 1-1 Simba
Uwanja wa Mkapa
Zimeongezwa dakika 2
Dakika 90 zimekamilika

Dakika ya 86 Onyango Goal kwa kichwa
Dakika ya 79 Yanga wanalifuata lango la Manula
Dakika ya 62 Farid Mussa anachezewa faulo na Luis
Dakika ya 57 Sarpong anatengeneza hatari ndani ya Simba
Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Mkapa

Yanga 1-0 Simba
Mapumziko

Dakika 45 zimekamilika, Simba wageni wapo nyuma kwa bao 1-0 lililofungwa na Michael Sarpong

Dakika 45 zimekamilika zimeongezwa dk 2
Yanga 1-0 Simba

Dakika ya 40 Mnata anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 31 Michael Sarpong Gooooal penalti
Dakika ya 28 Kisinda anachezewa faulo na Onyango Yanga wanapata penati
Dakika 15 zinakamilika hakuna timu iliyoona lango la mwenzake ndani ya Uwanja wa Mkapa
Dakika ya 14 Farid Mussa anampa pasi Kisinda ambaye anafanya jaribio linaokolewa na Manula
Dakika ya 11 Lamine Moro anamchezea faulo Kapombe
Dakika ya 7 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Simba
Dakika ya 3 Mzamiru anacheza faulo
Yanga 0-0 Simba


Uwanja wa Mkapa

Abdalah Mwinyimkuu mwamuzi wa kati

 UWANJA wa Mkapa, Novemba 11 dabi ya Yanga v Simba


Mechi ya kwanza kwa Kocha Mkuu, Cedric Kaze akikutana na mbinu za Sven Vandnbroeck raia wa Ubelgiji.

12 COMMENTS:

  1. Marefa wa Bongo tabu sana.Penalti nje ya box.Lakini tutafika tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwanini wanang'ang'ania mechi kubwa kuchezeshwa na waamuzi wa bongo ambao ni utopolo plus

      Delete
  2. Kelele nyingi "pira biriani" kumbe ni "pira bokoboko";leo wamekutana na "pira Pizza" ulimi nje...wamezoea kuwaokota vibonde.Na safari hii wale mamluki wao waliokuwa wanawatumia hawapo kwenye timu walibaki wanahaha tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha ujinga, mkeshinda basi kama hamkubebwa

      Delete
    2. Mjinga ni wewe aunt unaepumuliwa kisogoni

      Delete
  3. Refaaa wenu, penati mmepewa, pigiwa pira mpaka basi

    ReplyDelete
    Replies
    1. "PIRA BOKOBOKO" hahahahahahahahahah sijui itakuaje kwenye ligi ya mabingwa Africa

      Delete
    2. Acha ushamba ww, umepewa penati. Alafu mbapiga mpira wakitoto wakupoteza muda huku mkimwogopa bingwa. Chezeni mpira siku nyingine chezeni mpira acheni mpira wakupoteza muda wakitoto.

      Delete
    3. Rudi shule kwanza mkonongo ukajifunze kuandika kwa ufasaha sio unaandika utopolo

      Delete
  4. Hakuna pira biriani,mmepata sare mshukuru

    ReplyDelete
  5. Kweli mikia fc mnapoteza kumbukumbu mmesahau penati ya kagere faulo alichezewa nje ya box na yondani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nawe umesahau kuwa refa alikataa Holi la Simba kubalance au kusawazisha makosa yake?, Wajana kawabeba na bdo katunyima penati zetu. MUNGU yupo upande wetu makombe yote Ni yetu kwa juhudi tulizonazo. Ninyi wanjia za pants mtaendekea kukosoa macho tukiendelea kunyanyua makombe.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic