BAADA ya kutumia dakika 180 kuokota mabao mawili kwenye nyavu zao, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wanakaribishwa na watani zao wa jadi, Yanga Uwanja wa Mkapa.
Kwenye mechi hizo mbili ilikuwa mbele ya Tanzania Prisons 1-0 na Ruvu Shooting 1-0 nyota wao Clatous Chama hakuwa sehemu ya kikosi ila aliporejea mchezo wake wa kwanza ilikuwa dhidi ya Mwadui FC na alianza kikosi cha kwanza Simba ilishinda mabao 5-0.
Leo kazi inatarajiwa kuanza saa 11:00 Uwanja wa Mkapa, Simba wao chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck wanatarajiwa kupanga kikosi chao kama ifauatavyo: Beno Kakolanya
Shomari Kapombe
Muhammed Hussein 'Tshabalala'
Pascal Wawa
Joash Onyango
Gerrard Mkude
Luis Miquissone
Mzamiri Yassin
John Bocco
Larry Bwalya
Clotaus Chama
Chanzo: Championi Jumatano
Ww si ulisema chama hachezi
ReplyDeleteMshapigwa changa la macho vyura nyie
Deletechama hayupo broo kocha alisema....
ReplyDeleteKocha muongo tu mwenye macho kama paka chama awez koxa kwenye mchezo bas mech amuna aki koxa chama et
Delete