LEO ni Dar Dabi Uwanja wa Mkapa saa 11:00 ambapo joto la mechi hiyo linazidi kuwa juu kadri muda unavyomeguka.
Ni dakika 90 za nguvu ambapo kila mmoja atajua alichokipanda baada ya muda huo kukamilika.
Cheki namna Kikosi cha Yanga ambacho kinatarajiwa kuanza leo ni Metacha Mnata
Kibwana Shomari
Yassin Mustapha
Lamine Moro
Bakari Mwamnyeto
Mukoko Tonombe
Farid Musa
Feisal Salum
Michael Sarpong
Yacouba Sogne
Tuisila Kisinda
Kwa mujibu wa Championi Jumatano
0 COMMENTS:
Post a Comment