TONOMBE Mukoko nyota wa Klabu ya Yanga ambaye ameibuka ndani ya kikosi hicho akitokea Klabu ya AS Vita ya Congo amesema kuwa bado ana mkataba na timu hiyo kwa sasa.
Jina la Mukoko limekuwa likitajwa kuingia kwenye rada za Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara.
Mukoko amesema kuwa ana mkataba wa miaka miwili na Yanga hivyo taarifa zinazoeleza kuwa anaondoka ndani ya kikosi hicho ni za uongo.
Watahangaika Sana hao m i k i a fc
ReplyDelete😆😆😆😆 Morrison mlisema hivyo yupo wapi sasa
DeleteDuh! Maelezo ni mafupi mno hayajitoshelezi, hayana nyama ya kutosha.
ReplyDeleteKasema mwenyewe mukoko sasa mnaobisha mnambishia au? Basis nendeni mkamsajili hana mkataba so ndo mnachotaka
ReplyDeleteTudistaaj kusikia kuwa mkataba wake ni wa miezi sita tu kama ilivo na Morrison
ReplyDeleteMbinu za kumnasa Morrison ndo zilezile zitakazo mnasa Mukoko ni suala la muda tu!!
ReplyDelete