Yani utopolo kila sikua wanalia Chamaaa Chamaaa kashasema taki kuchezea timu lenu halina mvuto,kwani Bernard Morrison Yanga walishindwa kumlipa ela, hawakushindwa ila timu lenu utopolo halina mvuto , hata Rally bwalya Yanga ndio waliweka dau kubwa na walimfuata mpaka Zambia simba waliweka dau dogo kulinganisha na la Yanga lakini Bwalya aliichagua Simba kwa sababu ni timu kubwa, ina mvuto, pia ina malengo makubwa ya kufanya vizuri Afrika, sasa unataka achezee timu ya mabingwa wa kihistoria wa kombe la Kina Ndolanga na Malinzi, chura fccc mtakai hapa hapa
Shusheni tu ili Chama akiondoka msianze kuhangaika na kumfukuza kocha
ReplyDeleteTarehe 15/12/2020 tuna jambo letu endeleeni kutupiga majungu muda utaongea
DeleteYani utopolo kila sikua wanalia Chamaaa Chamaaa kashasema taki kuchezea timu lenu halina mvuto,kwani Bernard Morrison Yanga walishindwa kumlipa ela, hawakushindwa ila timu lenu utopolo halina mvuto , hata Rally bwalya Yanga ndio waliweka dau kubwa na walimfuata mpaka Zambia simba waliweka dau dogo kulinganisha na la Yanga lakini Bwalya aliichagua Simba kwa sababu ni timu kubwa, ina mvuto, pia ina malengo makubwa ya kufanya vizuri Afrika, sasa unataka achezee timu ya mabingwa wa kihistoria wa kombe la Kina Ndolanga na Malinzi, chura fccc mtakai hapa hapa
ReplyDelete