MUONEKANO wa jezi mpya za Klabu ya Simba kwa ajili ya michuano ya kimataifa.
Simba itaanza kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya makundi kwa kucheza na Klabu ya Plateau United ya Nigeria Uwanja wa New Jos.
Mchezo wa marudio unatarajiwa kuchezwa kati ya Desemba 4-6.
Jezi nzuri sana binafsi nimeielewa mnoo!
ReplyDeleteHofyoooooo.....jezi kama matambala ya mganga wangu.... Ndo maana mwamedi kawataza msizungumzie kitu chochote kuhusu timu yake maana nyie ni mazuzu!!!
ReplyDeleteWewe unataka Simba wavae pempasi Kama ninyi utopolo. Uzi wa wa bingwa siku zote Ni mkali siyo hao utopolo wanaobalidilishiwa Aina za pempasi kila siku na GSM.
DeleteJezi nzuri Erick yumbe vipi hapo by stan hapa
ReplyDeleteJezi bora kabisa kwa mabingwa wa nchi mara 3 safi kabisa wacha nikanunuwe haraka safi kabisa. Hao kandambili wao ni mahasidi ndio wanacho juwa na kubebwa tu kupewa penati nche ya mita 20
ReplyDeleteJezi powa kabisa!.Kwani ndio hawa hawa mchezaji wao Tambwe alishika mpira na kujitengea akafunga?basi ndio maana hawafiki mbali.
DeleteAhahaha, design ya kisasa jezi Bora haitakiwi kuwa na marangi mengi, angalieni jezi za nchi zilizo endelea, hata club kubwa mtapata jibu
ReplyDeleteHata matangazo ktk jezi yanatakiwa kuwekwa kwa uweledi wa Hali ya juu, vinginevyo jezi itakuwa bango la matangazo
ReplyDeleteYes, hata hii ilisthili kutumiwa kwenye ligi za ndani nimeipenda safi sana
ReplyDelete