November 6, 2020

 


HII hapa Orodha ya wachezaji 27 wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars walioitwa na Kocha Mkuu Etiene Ndayiragije kwa ajili ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Tunisia wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika,(Afcon).


Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Novemba 13, Uwanja wa Mkapa.


Makipa wanne

Juma Kaseja (KMC)

Aishi Manula (Simba)

Metacha Mnata (Yanga)

David Kissu (Azam FC)


Mabeki

Shomari Kapombe (Simba)

Mohamed Hussein (Simba)

Erasto Nyoni (Simba)

Deus Kaseke (Yanga)

Bakari Mwanyeto (Yanga)

David Bryson (Azam FC)

Abdalah Shaibu (Yanga)

Abdallah Sebo (Azam )

Viungo

Farid Mussa wa Yanga

Jonas Mkude (Simba)

Said Ndemla (Simba)

Mzamiru Yassin (Simba)

Feisal Salum (Yanga)

Ditram Nchimbi (Yanga)

Ally Msengi (Stellenbosch ya Afrika Kusini)

Salum Abubakary (Azam)

Himid Mao (ENPPI ya Misri)


Washambuliaji


Simon Msuva (Difaa El Jadid ya Morocco)

John Bocco wa Simba

Thomas Ulimwengu wa TP Mazembe ya Congo

Adam Adam wa JKT Tanzania

Idd Seleman wa Azam 

Mbwana Samatta wa Fenerbahce ya Uturuki.


4 COMMENTS:

  1. Nadhani badala ya Erasto Nyoni ingekuwa busara kama angechukuliwa Ame yupo vizuri

    ReplyDelete
    Replies
    1. Faida ya nyoni ni kiraka awapo uwanjani japo Ame kwa kweli Bila kupepe macho anajua sana hasa akikaa na mwamnyeto

      Delete
  2. Deus kaseke Toka lini akacheza beki, naona hapo wangemuita David kameta (Duchu) kwangu ni mbadala saihi wa shomari kapombe

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic