LEO Novemba 28 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa timu sita kushuka viwanja vitatu tofauti kusaka pointi tatu
Mambo yatakuwa namna hii:-
Mbeya City v Mtibwa Sugar,Uwanja wa Sokoine, Mbeya saa 8:00 mchana.
Yanga v JKT Tanzania, saa 10:00 Uwanja wa Mkapa.
Dodoma Jiji v Ihefu, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
0 COMMENTS:
Post a Comment