November 27, 2020

 


KIKOSI cha Simba kilicho chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck leo kinaondoka Lagos ambapo kiliweka kambi kwa muda kuifuata Plateau United katika mji wenye makao makuu yake.

Ni umbali zaidi ya Kilomita 300 ambao wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wanatarajiwa kusafiri ili kuweza kufika kwa wapinzani wao watakaocheza nao Novemba 29 mchezo wa awali.

Simba imeshauriwa kutumia ndege kwa kuwa katikati ya miji hiyo kumekuwa na matukio ya utekaji watu ikiwa watatumia usafiri wa basi.

Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk Benson Bana amekuwa kati ya watu waliotilia mkazo suala hilo la kutumia usafiri wa ndege.

Balozi huyo amesema kuwa anaamini timu hiyo itafanya vizuri na kikubwa ambacho kinahitajika ni ushindi katika mchezo huo.

"Kila kitu kipo sawa na ushirikiano umekuwa mkubwa hapa Nigeria hivyo tunaamini kwamba safari ya kwenda mjini Jos itakwenda vizuri na mtakuwa salama pia," amesema. 

Mchezo huo utachezwa kwenye Uwanja wa New Jos wenye uwezo wa kuchukua watu 40,000.

9 COMMENTS:

  1. Kwa mzuka huu, na hsira zakuyolewa mwaka Jana raundi ya kwanza na ud songo, wanigeria watatusamehe msimu huu Ni final Hadi ubingwa. Sifa,vigezo,uwezo, wachezaji na benchi Zima laufundi kwakiwango Cha Hari ya juu mapemaaa tunamsliza game kwa ushindi mnene

    ReplyDelete
  2. Kila la kheri Boko haramu katika kuwateka hao wachezaji wa mikia fc, jitahidi sana kuwa piga na kuwabaka ili watoe kikombozi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unatia huruma kweli. Simba anawakilisha nchi lakini wewe unaombea watekwe. Shame on you

      Delete
    2. Ww umebakwa Mara ngapi mpaka. hivi sasa, utopolo mshazoea kubakwa ndo maana muda wote unawza kubakwa tu.

      Delete
  3. ha ha ha, mbeleko fc hamtoki Nigeria mmezoea kununua tu huko ni kichapo

    ReplyDelete
  4. Plateau united 3 Mo sports club 0 jicho la mwewe limeona

    ReplyDelete
  5. Mm nawatakia safari njema timu yangu pendwa na namuomba M.MUNGU awafanyie wepesi katika mechi hiyo.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic